Shirika la Habari la Hawza - Imamu Kadhim (a.s) amesema:
«لَيْسَ حُسْنُ اَلْجِوَارِ كَفَّ اَلْأَذَى وَ لَكِنْ حُسْنُ اَلْجِوَارِ صَبْرُكَ عَلَى اَلْأَذَى.»
"Kuwa jirani mzuri hakuna maana ya kutomuudhi jirani, bali ujirani mwema (mzuri) ni subira yako kwa maudhi ya jirani."
Al-kafi, Jz 2, uk 667
 
             
                
Maoni yako